Maisha bwana sometimes yako very complicated!
Mwanamke uko na mume kwenye ndoa , unampenda na kumuheshimu sana tu, unampa uhuru wa kutosha akisema yuko na rafiki zake wala husumbui unakaakimya tu unamsubiri arudi home muendelee na maisha .
Ila sasa mwanaume anaanza kuchelewa kurudi mara saa 8 ukiuliza ooh nilikuwa na kunywa na friends unaongea nae anaomba msamaha maisha yanaendelea .
Ikatokea sasa mara anarudi saa 11 asubuhi! Ukiuliza ooh nilikuwa mziki! Hiyo ilitokea kama miezi 2 iliyopita juzi sasa imetokea tena karudi saa 11 alfajiri jamani hii si dharau hii sasa. Ni mwanaume ambaya anapenda pombe ndio lakini sasa this is too much
Kwakweli nimechoka nimeamua yafuatayo:
1) Sitakaa nijiumize kichwa kuhusu huyu mume tena, nimeshachoka akiamua allale huko poa tu mie ntakuwa bize na kazi, wanangu na mambo yangu mengine yanayonifurahisha
2) Sitashiriki nae tendo la ndoa mpaka atakapo amua kuacha kutangatanga
3) Atakapoona anahitaji kuishi tena kama mume na mimi kwanza tukapime afya
4) Naondoa hisia zangu zote kwake ili nisiumie maana nahisi anataka kunipa msongo wa mawazo
Naombeni ushauri nimeboreka sana mtu amesoma hata kama ni mchepuko ndo mpaka asubuhi? Naombeni ushauri ?