hahahhahahahah umenifurahisha sana mtoa madaa, me nachoota mbona unajiua mwenye?
kuwa mvumilivu ikibidi kaa bila demu utafika tu muda wa wewe kupata mwenzi tena shukuru sana wanakuumiza wanasepa imagine ndio umeoa halaf ndio anakuumiza, Mungu atakupa mana mke mwema anatoka kwake, be patient man