Unaweza kuwa mkakamavu wa mwili lakini akili mdebwedo tu.
Jando linafinyanga wanaume wajitambue na waijue miiko yao.
Kutongoza shemeji, ama ex wa mshikaji ni HAPANA!
Kushusha wanaume wenzako ili ujipandishe ni HAPANA!
Na HAPANA nyingine nyingi...