Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,342
- 1,400
Mwakyembe naye kaingia chaka, kuwa waziri wa sheria na katiba hakukupi mamlaka ya kujitungia sheria yako na kuipitisha!! Akome kukurupuka.
Lete nakala ya risitiMbona Mbowe wako alikiuza Chama hadi akina Slaa wakakiacha? Je hakuwasiliana nao?
Shughuli gani sasa....Hapo red najua umenifagilia... Angekuwa fala mwingine angejua ni tusi afu shughuli ingeanza...
Mbona Mbowe humuongelei kuwa alishabadirisha gia angani na ndege ikaanguka kwenye miamba nakuripuka tarehe 25/10/2015 ?Wadau,
Nimekuwa nafuatilia utendaji wa mawaziri wa awamu ya 5 na kubaini kuwa kila Waziri amekuwa anatoa matamko anavyoona yeye inafaa na kuwa ni kauli ya Serikali. Kwa mfano kuna Mtendaji wa wizara ya afya aliwahi kutamka kuwa Tanzania ina ugonjwa wa Zika kauli ambayo iliilazimu Serikali ikanushe na Mtendaji huyu Rais alimtungua. Jana Mh.Waziri Mwakyembe aitangazia dunia kuwa Serikali ya Tanzania imeagiza hakuna kufunga ndoa mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa kauli ambayo Mh.Rais ameifuta Leo.
Matamko kama haya yanaonyesha Serikali kutokuwa makini.
Tunamwomba Rais amtumbue Waziri Mwakyembe.
Unaonaje kama Waziri mwenye DHAMANA ( DHAMANA kwa herufi kubwa) kama anastahili kuwajibika? Na kwa nini asiwajibike?Acha ujinga, maana ya kuwa kiongozi wa wengine nini? Kama wasaidizi wako wanashindwa kutoa maamuzi sahihi ni kuyapiga tu chini ili akili ziwakae sawa waache kutoa matamko ya mkurupuko.
Wewe kwa mtazamo wako maamuzi aliyotoa huyo waziri jana unafikiri ni sahihi. Hata dunia itatucha.
Hongera Rais Magufuli kwa kulitolea maamuzi mapema, kabla halijaadhiri jamii.
Unaona sasa??Shughuli gani sasa....
Ianzishe sasa....
Nyumbu ww Usio na vyeti
Angesema makonda raisi angesapoti.Wadau,
Nimekuwa nafuatilia utendaji wa mawaziri wa awamu ya 5 na kubaini kuwa kila Waziri amekuwa anatoa matamko anavyoona yeye inafaa na kuwa ni kauli ya Serikali. Kwa mfano kuna Mtendaji wa wizara ya afya aliwahi kutamka kuwa Tanzania ina ugonjwa wa Zika kauli ambayo iliilazimu Serikali ikanushe na Mtendaji huyu Rais alimtungua. Jana Mh.Waziri Mwakyembe aitangazia dunia kuwa Serikali ya Tanzania imeagiza hakuna kufunga ndoa mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa kauli ambayo Mh.Rais ameifuta Leo.
Matamko kama haya yanaonyesha Serikali kutokuwa makini.
Tunamwomba Rais amtumbue Waziri Mwakyembe.
Sasa kila analoona linafaa akimshauri rais kwanza atakayekuwa ameamua ni rais au waziri? Alivyofanya ni sahihi na rais kafanya sahihi pia ni mitizamo tu iliyopishanaBinafsi nahisi kama inakosekana co~ordination nzuri kati ya serikali + baadhi ya watendaji wake.
Tamko la waziri obviously ni tamko la serikali maanake hadi waziri afikie hatua ya kutoa tamko mara nyingi huwa mawasiliano yamefanyika na serikali kuridhia.
So kwa hili la Mwakyembe kwa lugha nyepesi tunaweza sema alikurupuka tu na kuja na tamko kama lile. Ndio alikurupuka manaake kama asingekurupuka tamko lisingefutwa na mteuzi wake.
Kama alikurupuka ni kwa nini alifanya hivyo? Kwa manufaa gani? But why..?
HII NDIO TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO