Hivi Ilikuwaje UDA waagize Mabasi Bila Bajeti ya Pesa za Ushuru?

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,240
4,465
Tumeona watu wengi sana wakiagiza magari na kushindwa kulipia ushuru, kisha magari yao yakapigwa mnada na TRA.

Lakini linanishangaza hili la UDA-RT ambao mpaka sasa hawajaanza kutoa huduma ya kutoa usafiri jijini Dar es Salaam, kwa sababu wameshindwa kulipia ushuru wa bilioni nane. Bila shaka hawa jamaa wamezoea kukwepa kulipa kodi, na walijua utakuwa mwendelezo uleule.

Kwanini serikali inawabembeleza UDA-RT? Kwanini isitaifishe mabasi yao? Kufanya majadiliano ya kulipia ushuru wa gari, ambayo watanzania wengine huwa hawapati kunatupa picha gani?

27th March 16
BRT trial in doubt tomorrow amid taxation hitches

Lydia Shekighenda
Despite Prime Minister Kassim Majaliwa’s directive to put the Bus Rapid Transit (BRT) fleet on road on trial basis by tomorrow, the public is skeptic over whether it will be real as reports about Sh8bn tax debt clearance by the project overseer company Dart, were equally murky as of Friday.


If the Premier’s order fails this time around, it will be the second time in a row of his abortive attempts to put the Dar es Salaam’s first rapid bus fleet up and running by using decrees amid unpaid tax debts.

The buses were earlier expected to commute the routes on the new road network by January 10, but postponed at the eleventh hour as the government stuck to its guns, saying it would not allow operations unless Dart had cleared tax debts for its 140-strong bus fleet.

But when reached on Thursday, Board Chairman of the company that runs the project UDA- Rapid Transit Company (UDA-RT), Sabri Mabruk echoed his January remark, telling The Guardian on Sunday that the negotiations over tax settlements were at a mature stage due for conclusion soon.

“We are still in talks with the government and we hope we will arrive at an agreement on how to settle the unpaid government dues,” he said.

The parties involved in the negotiation include Mabruk’s UDA-RT which runs the project in the two-year interim phase, Tanzania Revenues Authorities (TRA), the Prime Minister's Office (Regional Administration and Local Government) and the Ministry of Works, Transport and Communications.

But TRA’s Director of Taxpayers’ Education Richard Kayombo said he had no information over whether UDA-RT had paid the taxes.

“What I know is that there were negotiations going on to ensure that they cleared the debt, but I’m not sure if they’ve so done,” he said.

However, he said the Premier’s directive was primarily aimed at a rehearsal for the rapid bus drivers to get acquainted with the relatively sophisticated new means of transport including mastering the state-of-the-art traffic details in an exercise that will involve both drivers and commuters.

“We are going to start with drivers and then to commuters for them to be familiar with the use of the new bus stations and tickets in the form of magnetic cards,” he said.

The Surface and Marine Regulatory Authority (Sumatra) Communications Manager David Mziray said they were currently working with Dart and other stakeholders on the settlement of the widely disputed rapid bus fares.

“We are finalising the process for the realistic and affordable rapid bus fares,” he said.

Earlier the proposed fares were set at Sh1,200 for Mbezi-Kimara to Kivukoni on trunk roads, Sh700 for feeder roads and Sh1,400 for using both feeder and trunk roads, but were rejected by stakeholders amid claims they were too high for the mainstream Dar es Salaam city commuters to afford.

On Tuesday Premier Majaliwa ordered the Dar Rapid Transit (DART) to start final trials ‘next week’ by using 30 to 50 buses to give drivers enough experience with the newly-built roads and traffic lights.

“They are going to start with between 30 and 50 buses operating on all routes as per the scheme,” he said when he made an impromptu visit on Tuesday to see the gas-powered stoves at the Ferry Fish International Market in Dar es Salaam as well as to inspect construction of a fence that separates DART and the market.

“It is important for other road users such as motorcycle riders, commuter bus drivers and pedestrians to understand how DART buses will be operating,” he said.

He said that authorities responsible for the project were up and running installation of ticket machines requiring special payment cards to access the transport services.
THE GUARDIAN
 
Hao uda walijua maghufuli atakuwa kama kikwete kwa hiyo mambo yangekuwa mteremko sasa wamejikuta wameingia cha kike jamaa haeleweki wala asomeki ukizingatia mradi wenyewe dogo khalfani ndiyo mmiliki lazima wataisoma namba
 
Hii ni wajanja fulani wako kwenye hili dili la UDA-RT. Hawa wakomaliwe mpaka walipe kodi.
 
Mapicha picha kama kuna kumbu kumbu sitta alisema serikali ishaagiza mabas yaendayo kasi na mengine yashaingia na ndege nne kwa gharama ya serikali leo magari ya kampuni binafsi web ya dart ilikua ikisomeka dart leo gar zimeandikwa udart kwel tumepigwa ganzi nyingi sna haya ngoja tuone mi nabaki mtazamaji mana ukisema lolote utapangia chama ata kama sio chako kisa umeegemea upande na wabunge ndo walikua wakipiga kelele tuna wasikia na kufanya uchunguzi nw akuna kuona wala kusikia
 
Mapicha picha kama kuna kumbu kumbu sitta alisema serikali ishaagiza mabas yaendayo kasi na mengine yashaingia na ndege nne kwa gharama ya serikali leo magari ya kampuni binafsi web ya dart ilikua ikisomeka dart leo gar zimeandikwa udart kwel tumepigwa ganzi nyingi sna haya ngoja tuone mi nabaki mtazamaji mana ukisema lolote utapangia chama ata kama sio chako kisa umeegemea upande na wabunge ndo walikua wakipiga kelele tuna wasikia na kufanya uchunguzi nw akuna kuona wala kusikia

Inaonekana hawa jamaa ni jipu kuu, Ila Kwa sababu wanavinasaba na mstaafu jipu linazungukwa tu.
 
Inaonekana hawa jamaa ni jipu kuu, Ila Kwa sababu wanavinasaba na mstaafu jipu linazungukwa tu.
Tumeona wazir na rais kwenda direct kwenye ofisi za watu mpk binafsi nashindwa elewa kwa hili kua kikwazo na akuna kamera sielewi naanza kuona kama maigizo vile eti awajalipa ushuru jaman tumuopoge mungu jmn dah ahahahaha ninashaka sna na serikali nzima hii ya mda mfupi huu kupata kigugumizi
 
Kabla mradi kuanza taa zimekufa dalili ya mradi umepoteza muelekeo inaonyesha mmoja anataka uanze ivo ivo mwingine anasema bado mambo tutaumbuka tumalize system ya transit fee mana mbongo atapiga hela atajirike bure kabla mradi kurudisha hela yake
 
Tumeona wazir na rais kwenda direct kwenye ofisi za watu mpk binafsi nashindwa elewa kwa hili kua kikwazo na akuna kamera sielewi naanza kuona kama maigizo vile eti awajalipa ushuru jaman tumuopoge mungu jmn dah ahahahaha ninashaka sna na serikali nzima hii ya mda mfupi huu kupata kigugumizi

Magufuli yuko vizuri, Ila kila Jambo linamipaka yake Kwa nchi nyingi duniani.

Ndio maana Kikwete alisema mwacheni Mzee apumzike (Mkapa) pamoja na kupora mgodi wa kiwira.

Kwa hili nahisi Magufuli linamuumiza sana Ila hana namna sababu Ikulu "amekabidhiwa" Kwa hiyo ni vigumu kuanza kuwashughukia bila kuwa na plani B.
 
walitengenezewa mazingira mazuri ya kujengewa barabara kwa kodi zetu wao kuleta tuu mabasi linawashinda mbona tenda haikutangazwa kama walitaka mtu yeyote anaeweza alete...ishu sio bilioni nane inaonekana vipo vingi vimejificha..
 
walitengenezewa mazingira mazuri ya kujengewa barabara kwa kodi zetu wao kuleta tuu mabasi linawashinda mbona tenda haikutangazwa kama walitaka mtu yeyote anaeweza alete...ishu sio bilioni nane inaonekana vipo vingi vimejificha..
Haka kamkataba kao na hawa mabwege ni vyema kangefutwa tukaanza upya
 
Back
Top Bottom