Viwanda vya kufyatua watoto au??? hivyo viwanda vitazalisha nini??? ana miaka minne tu.
Kwa maana mahitaji ya mtoto ni ada peke yake???Fyatueni hakuna ada
Lol..wacha nikaanzishe cha kwangu, nitakiita....baBA j baby producing factory....wale wanaosubiri ajira mpya na kukuu nitawapa kazi wote.Yeah.. vya kufyatua watoto.. tena kuna kiwanda kimoja kikubwa leo nilienda kufyatua mtoto leo, ila kiwanda kilikuwa kinalia sana kimezeeka dizaini...
Haa
Kwahiyo tutakuwa tunabadili matarajio tu pasipo kutimiza malengo?Kila nabii na zama zake.
Zike zilikuwa zama za JK.
Na sasa tupo zama za John, hapa ni Viwanda, Kuhamia Dodoma na Watumishi hewa.
Ndio maana ake JJ.Kwahiyo tutakuwa tunabadili matarajio tu pasipo kutimiza malengo?