Hivi ile hotel ya kitonga ndio imekufa?

Hivi ile hotel ya kitonga ndio imekufa?

mvaa viatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
350
Reaction score
522
Nizaidi ya mwezi sasa haifanyi kazi,au ndio mtikisiko wa uchumi umewafikia na wao?kwa watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini watakua wanaifaham vizuri hii hotel.na jirani yake pia al jazira inapumulia mashine!
20181126_164550.jpeg
20181126_164629.jpeg
 
Nizaidi ya mwezi sasa haifanyi kazi,au ndio mtikisiko wa uchumi umewafikia na wao?kwa watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini watakua wanaifaham vizuri hii hotel.na jirani yake pia al jazira inapumulia mashine!View attachment 978612View attachment 978618
aisee bora tu wajipange maana walifikia pabaya nishawahi kula chipsi zilizolala sijui zilikuwa za jana yake, mbaya kwelikweli
 
USHINDANI WA KIBIASHARA MKUBWA.... wanategemea mabus hao, sasa mabus nayo
madereva ili walete gar kwenye hotel
yako wanataka wapewe chakula bureeee
 
Nakumbuka enzi hizo nasoma-nikiwa narudi likizo


R.I.P Comfort , asante sana kwa choo chenu kiliepusha wengi na fedheha za mchafuko wa tumbo...
 
imenikumbusha enzi nasoma kawawa jkt tulikuwa tukifika hapo tunapewa paja kuuubwaaa nadhani walikuwa ndege john sio kuku

hahahaa product za kawawa hizo aisee...mkifika mafinga mnakutana na mahindi ya kuchoma makuubwa
 
Back
Top Bottom