shida vijana wengi hamfuati taratibu za kukamilisha uhamisho. ukipewa barua tu ya uhamisho unaondoka. Rudi Halmashauri yako ya awali uwambie tatizo, watakwambia ulipo bugi, au mfuate afisa utumishi ukiwa na vielelezo vyote vya uhamisho na data sheet ulizofungashiwa wakati ukihama