Hivi huyu mwanamke nimkubali au nimkatae?

pamoja mkuu, kweli kabisa
Ukiwa na majukumu kila siku utaumiza kichwa ufanye nini ili upate pesa za kumtunza mke na mtoto. Mke kwao wana hela, wewe hauna kwahiyo hii nikama unafanya UE kwahiyo ili usiweze kudharaulika kwao na mwanamke lazima na wewe uwe na hela. Unafanyaje kujenga heshima ukweni yaani kupata pesa? Ukichukulia hii kama changamoto kwako lazima utoboe kimaisha.
 
Hold on....
Yaani unamaanisha kwamba huyo dada anakutaka lakini wewe ndie bado hauja mkubalia..!!??
ndio, nilimpenda wakati tuko Chuo sema life lilikua gumu nikapotezea, ila mpaka sasa bado anataka niwenae Sema ninamwanamke mwingine ila naona haeleweki ninataka nimuache ni pasua kichwa ila sitaki kuonekana Mimi ndio chanzo chakumwacha, sitaki kumuumiza, anazotabia sizipendi
 
Kuna mwanamke nilisoma nae Chuo alinipenda sana kwa kuwa life Chuo lilikua sio zuri nikampotezea sikutaka demu kipindi hicho, sasa Niko mkoa mwingine mbali nae ila kila upuuzi wangu anausapoti mpaka sasa naona kama simfai atafute mwanamme anayemfaa, ajawai kuwa na mwanamme anajieshimu kwao kuna hela za kutosha kitu ambacho kinaniogopesha zaidi, juzi kunamzigo wangu ulikua umekwama sehemu akanisaidia ukafika halafu akatupia picha ya sehemu mzigo wangu ulipokwama wala hajaongea chochote kuhusiana na mzigo wala sikumwomba msaada. Kila nikiwasiliana nae nahisi furaha ananichangamkia kwelikweli, hapa najishauli nimukubalie halafu anashida na mtoto kwelikweli ambacho kinaniogopesha life halipopoa maana kwao wanadini sana, lazima ndoa ifungwe mapema naona nitaaribu plan zangu.
Nitumie namba zake PM nimuonye aache kukusumbua
 
Back
Top Bottom