Hivi huyu msemaji wa Simba ni kanjanja?

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,863
5,694
Ameongea leo kupitia radio one akimlalamikia mwamuzi kati yao na Stand.utd Shinyanga akidai ameihujumu Simba.
Anasema amewanyima penati halafu alimaliza mpira kabla ya kona kupigwa.
Anasema wameandika barua TFF kulalamika na kutaka mwamuzi huyo kutochezesha mechi za Simba tena.
Nijuavyo mimi ktk she ria 17 za Soka hakuna kipengele kinacho mlazimisha mwamuzi kumaliza mchezo mpira ukiwa ukiwa sehemu gani ili mradi tuu muda umeisha.
Kwani klabu ya Simba haijui sheria Hui?
Pia uruhusu timu zijichagulie waamuzi hivi kweli tutakuwa na ligi ya ubora?
Wadau tujadiri
 
Kweli wewe huwajui Simba... Hawa jamaa hawana pesa za kuajiri msemaji professional so wanachukua tuu watu kitaa.... Hata wewe kama unaongea sana apply utapata
 
Back
Top Bottom