Hivi huyu dada ataolewa kweli kwa masharti haya?

Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,614
67,081
huyu dada alikuwa amemaliza chuo huko uingereza, sasa akawa anatafuta mtu wa kumuoa katika mtandao pendwa wa Twitter ila cha kushangaza aliweka vigezo vingi ambavyo ni ngumu kwa binadam mmoja kuwa navo

b0c5058879c1869181a2eb21010cde3a.jpg

6e33e295a111595f8fee0a61957748bc.jpg

b459be7483a2b3651f275ada9d71bbe7.jpg

je atafanikiwa kweli?
 
Wengine wanataka reality show on twitter tu, hawataki kuolewa wala nini.
ila huyu dada alikuwa nisiriaz nadhani
maana baadaye ali weka account yake private ningeweka tweets zake hapa uone ana kijitabia cha kuoenda mambo makubwa makubwa
 
ila huyu dada alikuwa nisiriaz nadhani
maana baadaye ali weka account yake private ningeweka tweets zake hapa uone ana kijitabia cha kuoenda mambo makubwa makubwa
Wewe nawe una muda mchafu sana wa kuwafuatilia hawa vichwapanzi wa bei rahisi.
 
Back
Top Bottom