CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,858
alikuona mzinguaji ndo maana. na hii hali wanaume wengi mnaipenda ee sijui huwa mnawaza nini, mkiambiwa na mabint kuwa mnapendwa huwa mnaleta pozi sa sijui huwa mnawaza nini.
Ebu wapashe bibie!
alikuona mzinguaji ndo maana. na hii hali wanaume wengi mnaipenda ee sijui huwa mnawaza nini, mkiambiwa na mabint kuwa mnapendwa huwa mnaleta pozi sa sijui huwa mnawaza nini.
huyu kweli ni wa kutiwa moyoni! kutongoza hawezi akitongoza anaringa... jipange upya hiyo kibarua ilishaacha majani!
Asee...Ndugu yangu niliona kama atanichukulia kuwa naweza kuingizwa mtegoni na mtoto wa kike kirahisi!
Nimekushangaa sana.. Unajua huyo dada mpaka kukwambia kama anakupenda ni kwamba alivumilia akashindwa ndio maana akaamua kupasua jipu... Sasa wewe unadhani alijisikiaje ulivyomkatalia?? Nahisi ameshapata anayempenda maana wewe ulimtolea nje..
Ebu wapashe bibie!