Hivi huwa ni utamu kweli?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,675
Reaction score
10,151
Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero.

Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?
 
Ndio shida ya kukaa uswazi...Tafuta nyumba nzima inayojitegemea,kupanga na watu wa aina tofauti tofauti ndio shida,wengine wasukuma mikokoteni na wabeba mizigo kariakoo wakikamata demu mpaka papuchi inawaka moto.
 
unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake
Hapa unasema kilamtu na habari zake
huyu katoka shamba,gulioni, kwenye biashara nk. Alafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza. Miguno na milio ya kila aina inasikika mpaka inakuwa kero. Sasa huwa ni utamu au mbwembwe tu?
Hapa unaanza tena kufuatilia habari za watu
 
Daah mkuu na mimi ninapoishi nina hiyo kero wananjunjana ni kelele mtindo mmoja sio ke wala me wote ni kelele mpaka kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…