Hivi huu uwamuzi wangu upo sawa?

Hivi huu uwamuzi wangu upo sawa?

Ndo maana ni nilishaapa. Siku nitakayomtia Mulugo jichoni ni lazima achezee kichapo. Ametuharibia sana elimu ya wanetu!
 
Mwandiko Wako mbaya
sijakuelewa kwakweli
 
Halafu nani kawasimulia hawa watoto habari za JF wawe wanakuja kusoma vitu oversize humu jamani
 
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi hapo roho yake nyeupeee kama sañda........
msichana huyo tulimalaza kidato cha nne mwaka jana na sasa yupo shule tofauti na mimi....nilimtongoza na mara nyingi huwa ananizuungu sha lakini kwa ishara anaonyesha hali fulani.. japo hajanikubalia lakni mimi naona kama tupo pamoja...uamuzi gani nimechukua?..jinsi ninavyompenda nimeamua kumuweka kwenye wallpaper yangu kwenya simu ili hali tu nisimsahau....nishaulini niponsawa au najisumbua tu.....

We dogo, humu ndani tupo baba zako. Soma shule, nyie watoto mnaosoma shule za mjin ni wasumbuf xana. Ningekujua ningekutandka viboko, tatizo lenu mmezoea kuangalia bongo movie na kucklza bongo fleva. Tulia shule nakushaur tu!
 
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi hapo roho yake nyeupeee kama sañda........
msichana huyo tulimalaza kidato cha nne mwaka jana na sasa yupo shule tofauti na mimi....nilimtongoza na mara nyingi huwa ananizuungu sha lakini kwa ishara anaonyesha hali fulani.. japo hajanikubalia lakni mimi naona kama tupo pamoja...uamuzi gani nimechukua?..jinsi ninavyompenda nimeamua kumuweka kwenye wallpaper yangu kwenya simu ili hali tu nisimsahau....nishaulini niponsawa au najisumbua tu.....

Dogo unataka kuangukia pua kwenye masomo yako hivihivi unajiona.

We yasikie tu mapenzi ukafikiri ni mchezo.

Mapenzi kizungumkuti. Nakushauri soma kwanza mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom