Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,051
- 6,473
Mwanaume/Mwanamke kuingiza mchepuko kwenye chumba anachotumia na mume/mke wake inawezekanaje? Mbaya zaidi kwenye kitanda kilekile unachofanyia majambozi na mwenzi wako wa ndoa.
Ni moyo gani mgumu unaoweza kuhimili kuta zikishuhudia mtu wa tatu anaingia kwenye chumba chenye siri ya watu wawili?
Ni moyo gani mgumu unaoweza kuhimili kuta zikishuhudia mtu wa tatu anaingia kwenye chumba chenye siri ya watu wawili?