Hivi huu ni ukame au laana?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Mamlaka ya khali ya hewa tujulisheni kama ni ukame au nini hiki manake joto si joto jua si jua khali ngumu sana, msikae tu ofisi mnakula mishahala ya bure hata kusema kutakuwa na ukame mnaogopa.

Viongozi wa dini vipi maombi yenu kuhusu mvua yameishia wapi jamani!!
 
Daaaaahhh mimi kila siku nasemaga hii ni laana maana haiwezekani hii hali si ya kawaida jaijawahi kutokea kwakweli
 
Nahisi Mungu amechoka na madhambi tunayofanya.kilimanjaro ambapo huwa kuna baridi lakini kila siku temp ipo juu kuliko mikoa yote.Hii siyo global warming. Watu wamekengeuka hawataki tena habari ya Mungu ndio sababu kuu.
 
Mamlaka ya khali ya hewa tujulisheni kama ni ukame au nini hiki manake joto si joto jua si jua khali ngumu sana, msikae tu ofisi mnakula mishahala ya bure hata kusema kutakuwa na ukame mnaogopa.

Viongozi wa dini vipi maombi yenu kuhusu mvua yameishia wapi jamani!!
Tatizo umezaliwa 1985.Wakati watu wanakimbiza gari la cement kwa kudhani gari la unga mwaka 1983,ulikuwa hujazaliwa,ndio maana unaongea chochote tu bila ya kujali.Ukame unaujua wewe?kwanza una shamba wapi mpaka utangaziwe hali ya hewa
 
Walikula pesa ya tetemeko katika hili laana imetafutwa kwa nguvu
 
Mamlaka ya khali ya hewa tujulisheni kama ni ukame au nini hiki manake joto si joto jua si jua khali ngumu sana, msikae tu ofisi mnakula mishahala ya bure hata kusema kutakuwa na ukame mnaogopa.

Viongozi wa dini vipi maombi yenu kuhusu mvua yameishia wapi jamani!!
Hii ni laana period.Hata viongozi wa dini wenye kujitambua wameshaacha kumuombea.Mtu hana hofu ya mungu ana chuki na visasi tu.
 
Kwani viongozi Wa dini wananguvu kuliko serikali?kwa sasa viongozi wa dining msiwategemee sana kwenye mambo ya kijamii na watetez Wa wanyonge
 
5ea3fa990f7749094a9034c1ffffac10.jpg
 
Back
Top Bottom