kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Yaani mimi mwili wangu siku hizi siuelewi kabisa. Siku hizi nilikuwa naumwa matatizo ya panic attack nikapona kabisa
Sasa siku hizi matatizo mengine yananiandama nikitulia chini kitu cha dakika 30 na zaidi nahisi mwili unaishiwa nguvu kabisa na Ninasikia kipanda uso Pamoja na baridi.
Ila nikiwa natembea tembea au kufanya mazoezi mwili unachangamka au nikiwa nafanya kazi Ambayo itani toa jasho na Ninasikia Kama Kuna vitu vinatembea mwilini mwangu
Sasa sijui hili tatizo gani. Hivi kukaa chini saana Kunaweza mletea mtu matatizo? Maana kipindi kile ambacho nilikuwa naumwa nilikuwa nakaa kitandani tu Bila kutembea au kufanya chochote