Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,389
No unga mkono hoja.Kweli vidole havilingani. Kuna watu hata mkiachana unajua X ni jabali linaloshine wakati wote.
Ma x wengine unawaona kwe tv ndo unawatongoza, hata mkiachana unaendelea kumuona tu.