BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,243
Mlikuwa na mahusiano
Mkaachana/wew ukamuacha
Maisha yakaendelea
Mwenzio maisha na neema zinamuwakia
Anaendelea kimaisha tofauti na mlivokuwa pamoja
Amenawiri
Waonao maendeleo yke wanakuletea taarfa
Mara paap unamuona on tv kashinda Biko mil.10
Wew utajisikiaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaachana/wew ukamuacha
Maisha yakaendelea
Mwenzio maisha na neema zinamuwakia
Anaendelea kimaisha tofauti na mlivokuwa pamoja
Amenawiri
Waonao maendeleo yke wanakuletea taarfa
Mara paap unamuona on tv kashinda Biko mil.10
Wew utajisikiaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
