Hivi Hoja ya kutaka RC Makonda aitwe ajieleze mbele ya Kamati ilitolewa na mbunge yupi?

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Naombeni mnijuuze maana si mnajua bunge hatulioni live!!!

Lakini nimesikitishwa na hili!.......

Joseph K. Musukuma(CCM): Mawaziri wa Magufuli wamepigwa ganzi, wanamuogopa RC Makonda.

Joseph K. Musukuma(Mb): RC Paul Makonda mwaka 2015 alikuwaanaishi kwa Membe halafu leo niBilionea anamiliki VX na MaghorofaMwanza.

Joseph K. Musukuma: Hata kama Makonda anachangiwa na wahisani, sheria inamtaka atangaze alivyopata pesa hizo. Achunguzwe na Vyombovya Dola.


.....................huu ni wivu na kama vile alivyofanyiwa aliyemwita fisadi Lowasa...
 
Tumechoka na Comedy rojorojo sisi....leo ni jumamosi ngoja twende zetu michezoni na wanetu kupunguza stress za nji hii na cholestral.

Wameshatufanya wananchi nyokonyoko zao.
 
Back
Top Bottom