Hivi hizi zawadi zinazotolewa na Chrome mtandaoni ni kweli zipo claimable??

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Kwa mwenye ushuhuda ambae alishawahi kupata hizi zawadi mostly ni mobile phones...

Mimi hii ni mara ya pili wanani notify kuwa nina bahati kutumia browser yao ya chrome na baadhi ya vimaswali hapo ila pia kuna option ya kujaza either Visa Card Au Master Card ambayo mimi sina.....

Je kwa wenye nazo na ambao mshawahi kupata hizi jumbe je ni kweli hizi zawadi zao zinwezekana kupatikana??

Screenshot_20200814-225503.jpg
 
View attachment 1537411
Chrome ya Google au chrome ya scammers?
 
Nilishawahi kupata $5,000 mkuu kwny hio mambo ya chrome,kule kwa mr. Kuku nilipata kama mil 12,kwny Forex nilipata mil 9 total,kwny ufugaji wa kware na mayai yake sikupiga sana ila nilipata kama 4mil huku kwny ufugaji wa Sungura na ule mkojo wake kulinipa mpk gari hapo chini.

So endelea na zoezi tu mkuu.View attachment 1537425
Kuwa makini usije ukaibiwa. There's no Free lunch in this crooked world
 
Mimi wananipa alert mara nyingi sana nashinda Samsung s10 /iphone Xmax nk
na mimi kama wewe sina Visa wala paypal
nilichofanya mara ya mwisho nikauliza swali google kama wanatoa hizo simu wakasema ni SCAM hakuna kitu kama hicho
 
Usemacho mkuu chaweza kuwa sahihi 100%.

Hivi ni bahati nasibu gani ukiulizwa swali lolote na ukatoa jibu lolote, lazima ushinde?

Maana kwao ushindi ni lazima kwa jibu lolote!

Ndiyo hapo nami nilipoona hivyo ngastuka.
 
Kwa mwenye ushuhuda ambae alishawahi kupata hizi zawadi mostly ni mobile phones...

Mimi hii ni mara ya pili wanani notify kuwa nina bahati kutumia browser yao ya chrome na baadhi ya vimaswali hapo ila pia kuna option ya kujaza either Visa Card Au Master Card ambayo mimi sina.....

Je kwa wenye nazo na ambao mshawahi kupata hizi jumbe je ni kweli hizi zawadi zao zinwezekana kupatikana??

View attachment 1537411
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Look before you jump.
 
Hata voda wanayo iyo
Nikajaza wananiambia tena mambo ya dollar..
Nikajiuliza kwa nin wasitumie Mpesa au wafidie kwenye offer
 
Back
Top Bottom