Hivi hizi shule bado zipo tu?

We become what we think.......

Mawazo yetu....na vilivyomo vichwani mwetu vina mchango mkubwa sana katika kusukuma malengo na kuzifikia ndoto zetu....

Tunaporuhusu mawazo na fikra za kipuuzi zitawale fikra zetu.....bila ya shaka hatuwezi kujinasua katika dimbwi la ujinga....na kubakia katika njia ya upumbavu.....

Usugu wa mawazo hayo ya kipuuzi yanaathiri hata mitazamo yetu juu ya vingine......

Kwa kuwa tumewekeza fikra, mawazo na sehemu kubwa ya tafakari zetu kwenye ngono......tumejikuta kila kitu tunakitazama na kukifananisha na Ngono......

Take control of your thoughts....
Take control of your destiny.....
 
Word
 
Shule ya Msingi Madudu ndiyo shule ilinifikisha hapa nilipo, pole wewe unayedhiaki majina ya shule lakini binafsi I'm proud of that, go go go Madudu primary school @
 
utazungumza sna hawata kuelewa mkuu .....politics kill.our bright mind mkuu
 
utazungumza sna hawata kuelewa mkuu .....politics kill.our bright mind mkuu

Tukishika kasi ya kuwakumbusha kama hivi....tunaweza tukawaokoa....wachache kati ya hao wengi waliopotea.....kuliko kukaa kimya....
 
Tatizo mkuu wee ndo umeenda mbali tena sana kimtizamo wala sikuwa na maana hiyo unayofikiria!!
 
Shule ya Msingi Madudu ndiyo shule ilinifikisha hapa nilipo, pole wewe unayedhiaki majina ya shule lakini binafsi I'm proud of that, go go go Madudu primary school @
Hongera sana mkuu
 
Kuna mtu aliyesoma Ufala primary school ani pm tukumbushie enzi zetu? Ninahistoria kidogo ya hiyo shule si mbaya tukikutana tubadilishane mawazo hapa Jamii Forums.
Ngoja waje mkuu mimi nilisoma senge!!
 
Mkuu mchango wako huu umerejesha akili za wengi kwenye mstari unaotakiwa. Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…