Hivi hizi microsoft surface duo zitapenya ama ndiyo another failed project ya Microsoft

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,041
Surface Pro, za microsoft hasa kuanzia pro 3 na kuendelea nazikubari sana. ila hiki kifaa naona kama kiko weak sana kwanza kina processor weak pia. Sidhani kama kitafanya vizuri labda kakitoa kujaribisha tu.

Halafu hizi teknolojia za double screen sijaona kampuni iliyofanikiwa kutengeneza matumizi ya maana yenye kushawishi watu wengi watumie double screen zaidi naona gimmick tu

s1.jpg

s2.jpg

s3.jpg
 
View attachment 1654057
View attachment 1654058
View attachment 1654059
Microsoft sijui Kwanini analikwepa soko LA gaming, viashiria vyote Kwamba ndio eneo pekee ambapo wintel inawashinda wengine.

Kwa mimi dual screen ni feature muhimu kwenye huu ulimwengu wa games za simu, screen moja yenye resolution ndogo na power saving mode kwa ajili ya kufarm ni muhimu sana.

Top players wote wa games za simu wa natumia computer na emulators kucheza sababu simu hazikidhi mahitaji,

Asus alishtuka mapema atapotea, kaamua ateke niche market ya Gaming, Sasa hivi Rog phone ni monopoly kwenye soko lake.
 
ni sawa na Google pixel walivyo lunch toleo la kwanza la pixel 2016 ilionekana watu hawakuzielewa,baada ya matoleo mengine zilipendwa sana kama pixel 2..

nafikiri wanapima upepo kwanza
 
Back
Top Bottom