GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 225
hakuna dudu kama hilo ! hiyo ni theory tu itapruviwa baadaye na ndalichako!
Subiri litoke andiko mengine ni porojo za kutiana pressurehizi tetesi kwamba mwaka huu chou ni wale watakaopata div 1 na 2 katika matokeo ya kidato cha sita. zinaukweli wwte?