Hivi hizi dawa za kuongeza makalio ni kweli zinafanya kazi?

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
666
1488735695612.png
 
Za mchina zinafanya kazi haraka,ila hizi za wabongo sijui. Madhara yake ni makubwa bora watu waridhike na tako dogo waliloumbwa nalo
 
Nnavyoona matangazo ya dizaini hii nakumbuka kuna Dada mmoja wa benki ya makabwela Dom shepu yake waweza funguo ya solex mchina mbaya sana.
 
Back
Top Bottom