Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,851
huwezi kuwaridhisha wanadamu wote,sasa mtu umemkabidhi moyo wako kwa miaka hyo yote itakuwa biashara?Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au nilitakiwa kufanya nini ili ndugu zangu waridhike?
Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au nilitakiwa kufanya nini ili ndugu zangu waridhike?
wanafamilia zao zenye watoto pia
Lara 1 u seem to understand my situation very well. Visa, maneno, sabotage utadhani hiyo business ni ya mtu baki. Kweli inanipa shida kuamini ingawa wanafahamu tangu awali kuwa biashara hiyo ni ya kampuni ya familia yangu na shareholders ni mimi na wife
Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au nilitakiwa kufanya nini ili ndugu zangu waridhike?
Lara 1? For Gods sake unamuonea. Ma wife hana hajui hata kama siku hizi kuna saluni za kucha. Kwa kifupi am in control of all finances
huwa najiuliza kama hapa duniani tupo kwa ajili ya kusaidia watu wengine, then hao watu wengine wapo kwa sababu gani?kabisa kabisa ....
Inawezekana ndugu wanahofu kuwa biashara ikikabidhiwa kwa mkeo, wao watakosa pa kuegemea na kujipatia chochote!
huwa najiuliza kama hapa duniani tupo kwa ajili ya kusaidia watu wengine, then hao watu wengine wapo kwa sababu gani?
Nanyi mtakuwa mwili mmoja na si wawili tena.
Mke ni wako, biashara ni yenu wewe na mke wako + watoto wenu (familia = Baba + Mama + watoto)
Maamuzi yoyote ni yako wewe na mke wako, mkishakubaliana na kuridhika kumshirikisha kiumbe mwingine ni kutia ukakasi katika upendo na maendeleo yenu.
Ukiwasikiliza hao believe me ndoa yako iko mashakani. You and your wife for each and everything forever.
You are very right Don mangi. Nashukuru ka advice nzuriPole mkuu Sweeper, you know one thing, ukishakua na familia kuwashirikisha ndugu zako katika maamuzi ni optional, family yako inakua separate entity,
Kuwaambia ndugu zako ni heshima tu.
Tell me one thing if what I am thinking it is right, wewe umeendelea kuliko ndugu zako siyo? If that is, nafikiri ndio wanaweza pata muda wa haya yote. . .What to do then, Kuna member katoa ushauri uwasaidie, have a separate plan ambayo haita ku cost in terms of time, money and devotion ya kuwainua ndugu zako let it be kuwasomesha wao or watoto wao, mitaji ya biashara, business ideas, networking assistance and all that. wasione kama umewatupa ukawapa chance ya kuongea.
All the best.
waambie ya familia yako hayawahusu, au ulishakula vya familia zao?
Ebooooooh.....
Walitaka umpe nani asimamie?
Waambie mkeo ni wajibu wake kusimamia, mali zako ni za mkeo na za mkeo ni zako...wao hawana umiliki wa biashara wala mali zako....
Tena kwa ndugu wa namna hiyo nikushauri mapema, kama ulikuwa hujaandika wosia andika mapema, ukifumba macho ghafla watampokonya mkeo hadi vijiko apate shidaa na watoto...
Hawajui kuwa wajibu wako ni kwa familia yako, ambayo ni mke na watoto kama mnao? Wao unawasaidia tu lakini huwajibiki kwao....
Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au nilitakiwa kufanya nini ili ndugu zangu waridhike?