Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Duuuuuu jamani hivi hili neno uchochezi ni neno jipya au ?!
Maana mimi huwa naona watu wanatumia maneno yaleyale ya siku zote lakini neno linalofuata ni uchochezi.
Siku hizi mtu anaharibu makusudi na ukimwambia ukweli anakuambia uchochezi. Hivi Siku hizi watanzania tumekuwa mafiga ya kuni ??? Zamani nilikuwa nawasikia akina bibi wanauliza vipi hizo kuni umechochea?