N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jul 1, 2016 #2 Yawezekana, si unajua penye wengi pana mengi!
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,947 10,311 Jul 1, 2016 #3 Wasomi wetu hao............Kweli Magufuli ana kazi kubwa sana.
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Sep 28, 2015 744 660 Jul 1, 2016 #4 kama hao ndo wasomi wetu nchi hii bado sana kuendelea hata aje kutuongoza mugabe
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Jul 1, 2016 #5 Mhh, hawa wasomi wa kizazi hiki ni balaa, yaani wanajisaidia darasani kwani hakuna vyoo na wanayanajisi madarasa kwa kufanya mapenzi!
Mhh, hawa wasomi wa kizazi hiki ni balaa, yaani wanajisaidia darasani kwani hakuna vyoo na wanayanajisi madarasa kwa kufanya mapenzi!
nzalendo JF-Expert Member May 26, 2009 11,713 11,972 Jul 1, 2016 #6 radika said: Click to expand... Kweli Vijana wa leo Elimu haijawakomboa....Mwanafunzi wa Chuo kukojoa Darasani??? Sasa ni ujumbe gani kwa ambao hawaja bahatika kutinga Chuoni?
radika said: Click to expand... Kweli Vijana wa leo Elimu haijawakomboa....Mwanafunzi wa Chuo kukojoa Darasani??? Sasa ni ujumbe gani kwa ambao hawaja bahatika kutinga Chuoni?
Nyati JF-Expert Member Mar 6, 2009 2,518 1,896 Jul 1, 2016 #7 Wanasema penye mamia pana maharamia, hao wachache wanawadhalilisha wenzao wanaofuata maadili mema
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,112 24,642 Jul 1, 2016 #9 Bora wale wa dom walioitwa vilaza....
MO11 JF-Expert Member Mar 23, 2014 18,851 38,689 Jul 1, 2016 #10 bongo kila kitu mwendokasi inawezekana vyoo ni vichafu ukiingia unatoka na harufu yake
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Jul 1, 2016 #11 Nyati said: Wanasema penye mamia pana maharamia, hao wachache wanawadhalilisha wenzao wanaofuata maadili mema Click to expand... Wafunge Camera
Nyati said: Wanasema penye mamia pana maharamia, hao wachache wanawadhalilisha wenzao wanaofuata maadili mema Click to expand... Wafunge Camera