Sasa inamaana hata kanisani/msikitini anakosali/swali RA wasimkubali coz fisadi? Kutetewa ni haki ya kila mtu hata aliyeua bado anapewa/ anatakiwa kupata wakili upo hapo?
Tatizo sio proffesion tatizo ni ethics na moral kumtetea manji, swali langu ni kuwa marando akiambiwa na rostam nenda kanitetee dowans au issue yoyote hapo wadau mtasemaje.....watu wanajibu kwa ushabiki wa vyama but bottom line practise what you preach kwa hiyo wanaomtetea marando kwa kivuli cha ni wakili watasema nini akimtetea rostam koz inaonekana jamaa ukifika dau anakutetea...ndio wanasiasa wetu haoKweli Tanzania is full of sick and short minded people,,,, sasa ina maana manji mahitaji yake yote ya kila siku anapata kwa wale wenye kadi ya ccm?
[QUOTE=Ntemi Kazwile;1586048]Mkuu,
Hapa kuna shida kubwa, kama mimi sipendi ushoga siwezi kuwa wakili wa kutetea mtu anamshitake mwenzake kwa kumwita shoga! Hata kama ni kazi yangu kutetea watu watendewe haki, nikifanya hivyo nitakuwa napingana na dhamira yangu ya kupinga ushoga na wala sitaweza kumtetea ipasavyo kwa sababu nafsi yangu inataka nimzomee huyo shoga ili aache ushoga sasa nitawezaje kumtetea asizomewe??
Marando anatuzuga huyu wala siyo jemedari wa kupinga ufisadi. Mbona sijawahi kumsikia Lisu akiwa wakili wa hao mafisadi?
[/I]
Huyo ni mwanasiasa pia tena close aide wa presidential candidate ambaye ametengeneza heshima yake kwa kupinga ufisadi (slaa), sasa leo yupo na manji akisingizia profession then next atamtetea mramba....huyo ndiye former MP of eala aliyeingia kwa kura za ccm but now ni chadema may after that atakuwa cuf
Mkuu hebu kuwa real kidogo, unadhani Marando akiuona ushahidi beyond reasonable doubt dhidi ya mteja wake Manji ataiambia mahakama imuadhibu mteja wake kwa maana nyingine Manji apoteze kesi?[/I]
Fahamu kuwa mahakama ndio chombo pekee na cha mwisho cha kusimamia haki za watu wote.
Utendaji wa mahakama unafuata facts za kisheria, na sio story za kwenye magazeti ua radio au tv. Lazima ushahidi uwakilishwe mahakamani ndipo mahakama itoe uamuzi.
Bila hivyo, utakubalina nami kuwa kuna watu huwa wanazushiwa habari na habari hizo huwa zinaenea miongoni mwa jamii, sasa je ungependa mtu ahukumiwe jela kwa sababu za kizushi? Nikikuita mwizi au jambazi kwa vile tu sijui umepataje utajiri wako wa magari na maduka, halafu habari ikaenea, itakuwa sawa kweli kwamba wewe ufungwe bila kutetewa? Kama ni mpenda haki, jibu lako litakuwa hapana. Na mahakama ndivyo ziko hivyo, lete kesi, lete ushahidi unaoridhisha, then mtuhumiwa anapewa adhabu yake.
Wakili anakuwepo pale mahakamani kama afisa wa mahakama kuhakikisha haki inatendeka. Kama ushahidi upo wa kutosha, hata wakili angekuwa mzuri kiasi gain, mtuhumiwa atapatikana na hatia. Kwa hiyo huyo Manji kama ushadi upo, atapatikana tu
Sasa kiutaratibu katika utawala wa sheria, kila mtu ni presumed innocent until proven guilty. Na Marando kama wakili anawajibika kuhakikisha mahakama inatenda haki kwa Manji (hata kama hampendi).
Hata mimi nina hisia kuwa manji ni fisadi, mramba ni fisadi, EL, RA, na wengineo, lakini, hizi ni hisia zangu mimi kama raia. Mbele ya sheria, hawa watu wanahitaji kutetewa. Ushahidi ukiwa mzito, wanatiwa hatiani na watapewa adhabu wanayostahili.
Kwa upande mwingine, jiulizeni, kwanini Manji ahatarishe uhuru wake kwa kutetewa na wakili ambaye ni mwanachama wa upinzani? Hii ni kwa sababu hata Manji mwenyewe anajua kuwa kazi za uwakili ziko separated na ufuasi wa kisiasa.
Mkuu hebu kuwa real kidogo, unadhani Marando akiuona ushahidi beyond reasonable doubt dhidi ya mteja wake Manji ataiambia mahakama imuadhibu mteja wake kwa maana nyingine Manji apoteze kesi?
Mabere Nyaucho Marando ni wakili wa Mengi.Huyo Marando ambaye ni wakili wa Manji ni yupi?Au kesi hii ina mawakili waliofanana majina pande zote mbili?
hata kama daktari ni mwanasiasa ethics zinambana amuudumie mgonjwa ndo maana wanakula viapo! Marando anfanya kazi pale kwa misingi ya jinsi sheria inavyosema kama mwanasheria hata fisadi ana haki ya kutetewa!Nakubaliana na wewe ila kuna suala moja hapa,daktari si mwanasiasa,marando ni mwanasiasa tena anayepiga ufisadi sasa akianza kutetea watu wenye tuhuma za ufisadi unaeleweka kwel?tuache ushabiki jmn na tuseme ukweli,yan ina maana hta rostam akija kwake kutaka amtetee kwenye kesi kma ya dowans angeenda maana ethics zinaruhusu?