Hivi hii No hate No fear ya CHADEMA imekaaje?

Hivi hii No hate No fear ya CHADEMA imekaaje?

Huwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga) wakina Jakaya, wakina Mkapa wakina Ndugai wakina Chalamila ,wakina Bashiru , wakina kangi lugola , wakina waiatara basi upinzania hautaruhusiwa kuchukua dola hata kwa kujaribu watu watapigania kubaki madarakani yaani bora mikojo imwagike maana hawata kubali


lakini kama itakuwa ni kutatua matatizo ya wananchi sioni tatizo la kupeana kijiti
Hivyo Chungeni midomo yenu ya kusema siku tukichukua dola wakina Kigwangala wajitafutie Gereza

Alloyce Nyanda
Mtozi
Hata hueleweki unaandika nn na unataka nn labda urudie hata mara 100 ili ujue maana ya NO HATE NO FEAR
 
Na siku zote wanaotoka madarakani kwa nguvu kubwa hupata tabu kubwa pia ndio maana madictator wengi hutoroka nchi zao.
Mfano Ben Alli (algeria)

Na kwa viongozi (wanaowajibika) anayetoka kwa amani ataishi kwa amani mfano T. Mbeki (S.Africa)
 
Back
Top Bottom