comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,014
- 6,832
Huwa najiuliza hivi siku upinzani ukichukua nchi utaanza kutatua kero za wananchi moja kwa moja au utaanza kulipa kisasi? Kukamata kamata watu na kusukuma ndani? kukumbushia wapi walionewa kama jibu litakuwa ni kuwakaMAta wakina Makonda, wakina Hapi wakina Mzee Magufuli (bila kujali kinga) wakina Jakaya, wakina Mkapa wakina Ndugai wakina Chalamila ,wakina Bashiru , wakina kangi lugola , wakina waiatara basi upinzania hautaruhusiwa kuchukua dola hata kwa kujaribu watu watapigania kubaki madarakani yaani bora mikojo imwagike maana hawata kubali
lakini kama itakuwa ni kutatua matatizo ya wananchi sioni tatizo la kupeana kijiti
Hivyo Chungeni midomo yenu ya kusema siku tukichukua dola wakina Kigwangala wajitafutie Gereza
Alloyce Nyanda
Mtozi
lakini kama itakuwa ni kutatua matatizo ya wananchi sioni tatizo la kupeana kijiti
Hivyo Chungeni midomo yenu ya kusema siku tukichukua dola wakina Kigwangala wajitafutie Gereza
Alloyce Nyanda
Mtozi