Hivi hii niliiona tu peke yangu mwenye Jicho Kali la Tai wakati Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma wamemaliza Kuaga Mwili wa Hayati Mzee Msuya leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Kwanini Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma walipomaliza tu Kuaga Mwili Watoto wawili wa Kike wa Hayati Mzee Msuya waliangaliana na kama vile walikuwa na lao jambo au labda kuna ambalo linaendelea kwani ile angalia yao na walivyogeukiana siyo ya kawaida na ndiyo maana wenye Macho ya Ndege Tai (ya Unjagu) tumeshtuka na kulihoji hapa.

Tafadhali naomba yoyote mwenye Footage ya TBC 1 aiweke tu ile sehemu Kikwete na Mkewe Salma wanamaliza Kuaga.
 
Anza kujifunza kufanya innovation utaacha kufatiliaa vitu vya serikali..
 
Dada ana haiba ya hali ya juu kuanzia ongea, mantiki ya anachoongea na namna anavyokiongea! postures! Kiongozi mzuri, TZ tuna hazina kubwa ya watu! Hana mideko! Kimsingi hata mimi nilijisemea si arudi nyumbani!
 
Hivi ameolewa na mjapani? je ni dokta wa binadamu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom