Hivi hii ni sahihi kweli?

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
732
742
Hebu tujiulize

1. Magari makubwa hasa ma roli ya mafuta na gase kukaa kwenye foleni barabarani hasa maeneo ya mjini.

2.daladala kwenda kuongeza mafuta zikiwa na abiria ndani.

Kama yote tajwa hapo juu si sahihi, Nani wakulaumiwa?

Na kipi twaweza fanya kuepuka majanga pengine ambayo yanaweza hatarisha maisha kwa namna moja au nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Vitu vingne Mungu ndio anatuokoa tuu...
Hii nchi ukiangalia mambo ambayo yapo kiusahihi hayafiki hata moja....
 
Huwa nawaza Sana unakuta upo kwenye foleni, pembeni upo karibu na gari kubwa limebeba gas au mafuta,
Mixer na joto Hili la dar

Hasa barabar ya Nelson mandela, kweli mungu hutulinda aisee
Mkuu Vitu vingne Mungu ndio anatuokoa tuu...
Hii inch ukiangalia mambo amabayo yapo kiusahihi hayafiki hata moja....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawaza Sana unakuta upo kwenye foleni, pembeni upo karibu na gari kubwa limebeba gas au mafuta,
Mixer na joto Hili la dar

Hasa barabar ya Nelson mandela, kweli mungu hutulinda aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria pekee zinazosimamiwa kwa weledi ni zile zinazogusa maslahi ya watawala,eg maandamano na mikutano ya wapinzani. Sheria zinazolinda maslahi ya wananchi zinapuuzwa na kusubiri kuunda tume majanga yakitokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mabasi kujaza mafuta na abiria ndani hii ina mashiko lakini kuna muda mwingine inatokeaga km emegence

maroli ya mafuta na gesi kuwa katika foleni barabarani hayapendi ila ni udogo wa barabara zetu ndo husababisha iwe hivyo na serikali ya AWAMU YA TANO chini ya mh JPM wameliona hili ndo maana wanajaribu kupanua miundombinu yake ili kupunguza foleni

nanyi cku mjitahid kuwa na maono na kutoa reason... msilaumu na kulalamika tu
 
Lazima kulalamikia mkuu, Kama mamlaka husika wamejisahau hivi nakuchukulia haya matatizo ni sehemu ya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima kulalamikia mkuu, Kama mamlaka husika wamejisahau hivi nakuchukulia haya matatizo ni sehemu ya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee wangekuwa wamejisahau usingeona flyover zikijengwa pale ubungo, au usingeona morogoro road hasa upande huu wa dar barabara zikiongezwa na kupanuliwa... yote hii ni kwa ajili ya kupunguza foleni

na nikuhakikishie hakuna lori la mafuta au gesi ambalo utalikuta limesimama tu humo barabarani kama hakuna foleni (nazungumzia kwa dar nakoishi na nlikokuzoea)... labda km unataka kuisaidia mamlaka husika sema kuwa malori x huwa yanasimama sehemu fulani hata km hakuna foleni

hiyo ya daladala ndo inamashiko lakin c ya malori
 
Sawa tumesoma na kuona uzi wako mdau,nini kifanyike sasa?

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
Back
Top Bottom