Hivi hii ni nini?

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habar wadau?mwenzenu nilikutana na binti mmoja tukapendana baadae tukaanza kusex kwa kutumia kinga. baada ya siku mbili baada ya kusex vipele vikaniota kwenye mavuzi kama vipele vya kunyoa ila vilikuwa vyeupe badae vilipotea vyenyewe alafu vichache kama vitatu vikahamia kwenye uume navyo vikakauka vyenyewe.tatizo ni juz 2lipokutana nlikuwa nakojoa mapema sana ingawa jana nlipima malaria nkakutwa nayo.sasa hiv hiyo ni nin kama kuna m2 ishawah mtokea hal hyo na ili nirudi kawaida ktk hali yangu nifanyaje?Ahsanteni sana!
 
pole kaka...siku hizi mauzauza ya magonjwa haswa ya ngono ni mengi...
ungeenda kwa specialist wa hayo majamboz fasta...
subiri pia wataalam mambo ya zinaa wanakuja kibao.
 
Pole saaaaaanaaaaa anza ARV TU kula vizuri pumzisha mwili wako,mazoezi uwe unafanya ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini
 
Pole saaaaaanaaaaa anza ARV TU kula vizuri pumzisha mwili wako,mazoezi uwe unafanya ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini

kush huna kaba...
ndo nn kumpayukia mwenzio ivo???
wote tunajua ni RIP wa siku za usoni,ila tumeuchuna aise...
 
kush huna kaba...
ndo nn kumpayukia mwenzio ivo???
wote tunajua ni RIP wa siku za usoni,ila tumeuchuna aise...


Hata mimi nimemshangaa huyu Kush, yaani anampa jamaa za uso bila haya!!! haifai hata kidogo
 
pole sana,
mimi mtu akiniambukiza ugonjwa wa zinaa
kwa kweli naachana naye siku hiyo hiyo.
 
Kwenye utupu wa kila mwanamke kuna comensal flora. Huwa ni bacteria au virus ambao huwa kwa kawaida hawamzuru alionao. Kuna kundi la virusi wakubwa wa kundi la clamidea, yaani wate wanao leta Trachoma kwenye macho huwa wanapenda sana kuishi huko mahali. Huwa wanashambulia vijaraha vidooogo vinavyo tokana na tendo. Hasa kama mwanamke ana mnywele mengi au kanyoa karibuni. Unaweza kupata vipele vidunchu na vyaweza kuwasha. Hatimae kwa usafi vinapona vyenyewe.

Kama havikudhuru wala haviwashi au kuuma viache na vitapona lakini na mwili unajenga kinga juu ya hao.
 
Back
Top Bottom