Hivi hii ni kwann?

Hivi hii ni kwann?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
2,029
Reaction score
2,657
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
 
Jamani hii maana yake nn ivi kwann mafundi simu wengi sana yaaan wengu huwa ni maotadh wa dini ya kiislamu alilimia 99 ni kwann fundi simu na ushekhe vinamausiano gani asanteni
Sio mtaan kwetu hapa kariakooo
 
Hakika chuki zao ni kubwa mno
 
Mkuu kama huo mtaa ni wa maostadh watupu basi ni lazima iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom