Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Nilikuwa namuangalia Waziri mkuu wa uingereza akitembea yeye na mkewe kwenda kuongea na waandishi wa habari leo na pia mara baada ya kuhutubia waandishi wa habari akaondoka yeye na mkew tuu hakukuwa na mlinzi yeyeto nyuma yao.
Kwa nini viongozi wengi hapa Africa kila wakati huwa na walinzi nyuma yao? Je hii ni staili mpya inayoenda na wakati au nini hasa wadau tujadili.
Kwa nini viongozi wengi hapa Africa kila wakati huwa na walinzi nyuma yao? Je hii ni staili mpya inayoenda na wakati au nini hasa wadau tujadili.