Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
Iyo ni (mwanzo 1 sura 1 hadi ya 4)
Hapo napata picha kuwa ni dunia ndio ilikuwa ikizungumziwa swali langu ni hili kama mungu aliumba dunia je hizi sayar zingine ziliumbwa na nani ????