Hivi hii imekaaje?

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,447
2,000
Nimekaa nikafikiria ila jibu linakuja halafu linakataa maana sina ushahidi wa 100% ila katika pitapita zangu sijaona kwa upande wangu kama nimekosea labda wenzangu nyie mnasemaje...
Hivi katika maandiko matakatifu kuna mwanamke aliandikwa aliolewa na mwanaume zaidi ya mmoja yaani ndoa mbili tofauti kwa nyakati sawa...mfano mwanaume kwa upande wa waislamu anauwezo wa kuoa wanawake hadi wanne kulingana na sheria zao lakini hao wanawake aliowaoa hawawezi kuolewa na wanaume wengine labda mpaka apewe talaka...hivyo kwenye maandiko matakatifu kwa wakristo tunaona wafalme walikuwa na wake wengi kweli kweli lakini cjui kama kuna sehemu iliandikwa mwanamke alikuwa anamilikiwa na wanaume zaidi mmoja.
Hivyo napata picha kuwa tabia ya mwanaume kuwa na matamanio ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo ambalo lilikuwepo toka enzi na enzi na mwanamke ameumbwa kwa kuwa na moyo usiokuwa na matamanio ya kuwa na wanaume wengi...
Hivyo jambo la mwanaume kuchepuka naona kabisa sio shida cha msingi tu kujitambua unafanya hayo mambo kwa nyakati ambazo mwenzako hawezi kukwazika ....ni hayo tu
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
43,871
2,000
Kila mtu apambane na hali yake, Chukua tahadhari dunia ya leo sio ya enzi hizo
 
Ackhery

JF-Expert Member
Jan 5, 2021
276
500
Nimekaa nikafikiria ila jibu linakuja halafu linakataa maana sina ushahidi wa 100% ila katika pitapita zangu sijaona kwa upande wangu kama nimekosea labda wenzangu nyie mnasemaje...
Hivi katika maandiko matakatifu kuna mwanamke aliandikwa aliolewa na mwanaume zaidi ya mmoja yaani ndoa mbili tofauti kwa nyakati sawa...mfano mwanaume kwa upande wa waislamu anauwezo wa kuoa wanawake hadi wanne kulingana na sheria zao lakini hao wanawake aliowaoa hawawezi kuolewa na wanaume wengine labda mpaka apewe talaka...hivyo kwenye maandiko matakatifu kwa wakristo tunaona wafalme walikuwa na wake wengi kweli kweli lakini cjui kama kuna sehemu iliandikwa mwanamke alikuwa anamilikiwa na wanaume zaidi mmoja.
Hivyo napata picha kuwa tabia ya mwanaume kuwa na matamanio ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo ambalo lilikuwepo toka enzi na enzi na mwanamke ameumbwa kwa kuwa na moyo usiokuwa na matamanio ya kuwa na wanaume wengi...
Hivyo jambo la mwanaume kuchepuka naona kabisa sio shida cha msingi tu kujitambua unafanya hayo mambo kwa nyakati ambazo mwenzako hawezi kukwazika ....ni hayo tu
uwe makini, narudia tena kwa msisitizo uwe makini!!! dunia ya sasahivi siyo ya kipindi cha akina mfalme Suleiman, hivyo badirika ishi maisha ya Kumpendeza Mungu na jamii pia
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,866
2,000
Sijui kwa nini POLEPOLEBABA (Mb) aliweka mbali hadi 2042 utabiri wake wa mwisho wa dunia!???

Nimekaa nikafikiria ila jibu linakuja halafu linakataa maana sina ushahidi wa 100% ila katika pitapita zangu sijaona kwa upande wangu kama nimekosea labda wenzangu nyie mnasemaje...
Hivi katika maandiko matakatifu kuna mwanamke aliandikwa aliolewa na mwanaume zaidi ya mmoja yaani ndoa mbili tofauti kwa nyakati sawa...mfano mwanaume kwa upande wa waislamu anauwezo wa kuoa wanawake hadi wanne kulingana na sheria zao lakini hao wanawake aliowaoa hawawezi kuolewa na wanaume wengine labda mpaka apewe talaka...hivyo kwenye maandiko matakatifu kwa wakristo tunaona wafalme walikuwa na wake wengi kweli kweli lakini cjui kama kuna sehemu iliandikwa mwanamke alikuwa anamilikiwa na wanaume zaidi mmoja.
Hivyo napata picha kuwa tabia ya mwanaume kuwa na matamanio ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo ambalo lilikuwepo toka enzi na enzi na mwanamke ameumbwa kwa kuwa na moyo usiokuwa na matamanio ya kuwa na wanaume wengi...
Hivyo jambo la mwanaume kuchepuka naona kabisa sio shida cha msingi tu kujitambua unafanya hayo mambo kwa nyakati ambazo mwenzako hawezi kukwazika ....ni hayo tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom