Hivi hii imekaaje wadau

OSWELELE

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
54
Reaction score
4
utakuta kwenye familia nyingi zakibongo mtu akiwa na pesa anathaminiwa sanaa ata akiwa mdogo kwenye familia lakini ambaye ana yaani full kupuuzwa hivi kwa hali hii tunaelekea wapi ba ndugu:welcome:
 
Huwa hawajui kuwa Mungu humwinua mnyonge toka jaani na kumketisha pamoja na wakuu........tena humwinua huyu na kumshusha huyu,hukausha mti wenye utonvu na kusitawisha mti usio na utonvu, yote haya hutoka kwake muumba.Usimdharau mtu hujui kesho yake itakuwaje.
 
^^
Bora hilo linavumilika..ushawahi kutukanwa na mwanamke mbele ya hadhara ukatemewa mate kisa huna pesa..dunia ina mengi
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…