Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
- Thread starter
- #21
😀 😀 😀 😀 Ice cream ya maziwaumesahau apo, saa kumi anakula ice cream
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀 Ice cream ya maziwaumesahau apo, saa kumi anakula ice cream
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yanatosha kabisaaa


Ugali kama vichwa vya watu aisee bora nilage tambi mimi
Dah!!!! Kwa bachelor kama mimi hayo siyaweziAsubuhi chai na muhogo wa kuchemsha sio mbaya na samaki wa kukaanga au viazi vitamu uji wa ulezi uliochanganywa na mchele mahindi na maziwa fresh...Usiku wali nazi na mboga za majani au maharage ya nazi sio mbaya mkuu
NYONGEZA: na juice ya tende iliochanganywa na mayai ya kienyeji, karanga mbichi, na maziwa fresh hiyo ndio itakuwa juice ya kunywa kutwa mara mbili asubuhi na jioni unakunywa grass moja mkuu BLACK MARXIST:
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unatafuta obesity au??? Labda kama we ni kuli kariakoo
Mie unipikie nile nishibe usinifanyie hivyo mamaaYanatosha kabisaaa
Saivi tunawaza ada za watoto
Kaza buti uvute jiko babuDah!!!! Kwa bachelor kama mimi hayo siyawezi