G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,358
- 5,208
Ndugu wanabodi,
Nitaandika kwa ufupi tu. Hivi vitu vyote si vya kwanza kutokea ila mpaka viongelewe ndo utasikia midomo yao, saa hizi wameanza na Roma, utekaji ulianza kwa akina Ben Saanane. limetokea la madawa ya kulevya, WAPO! La vyeti feki, WAPO! La Nape, WAPO! La Nkumbo, WAPO! La Ndugai kutukanwa bungeni WAPO! La kupingwa kule bungeni kwa kuleta wagombea wawili, WAPO! La kusafirisha mchanga WAPO!Limetokea hili la Roma, WAPO!
Hawa jamaa siku zote wapo kimya, kikitokea tukio lolote ndo utawasikia, WAPO? Kwa nini wasiwe watetezi wetu bila kufata matukio tu? Ukitukana ujue ukweli umekuwasha.