To my experience girlz wanatabia au tunatabia sana ya kuitana dia,mpenz, rafiki, baby, sweery, swilo-sweetheart, mchumba, darling,heartbeat, mahabuba, mahabat, kachumbari, kitafunio, pipi na majina mengine au yoote mazuri kumuita umpendaye au aliye bennet nawewe. Ila huwa tunaliita kimdomo tu kwa same sex yaani gals to gals na ikiwa the opposite sex yaani kwa boys kwanza sauti hubadilika na tonation na kuliita baby ni tofauti na nitakavo muita mschana mwenzangu. Pia kama namuita mwanaume au mvulana YOYOTE YULE one of these names itasound tofauti na nitakavomuita yule yule mwenyewe mwenyewe wa ukwee lol so uspate wivu sanaaa
we hujiulizi kwanini gals wakikutana barabarani au mahali watasabihiana kwa kuhug na kukiss kwenye mashavu hata midomoni NOTE sio kunyonyanya ndimi mh mh hii ni kawaida sana na wakikutana na mvulana YEYOTE wanaweza mhug na kiss ya shavu moja au kote meaning nothing at all hii ni kawaida ILA akikutana na MWENYEWE YULE looh unajua inakuweje sielezei hapo iwe public, faragha
JE kwa nini wanaume huwa hawakiss each other hata on chick kama salamu au kutembea barabarani mwanaume kwa mwanaume wakiwa wameshikana mikono au kushikana viuona like gals used to do.????