Hivi haya mambo yapo??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimesikia jamaa akimuhadithia mwenzake jinsi alivyompata demu wakaenda naye baa wakarudi hostel jamaa wakala together!!Nikasikia kinyaa mademu mpaka wanatongoza kuna tena kula together??
Zamani mnaitana kwa hajili ya shughuli hiyo nademu akijua hakuna noma!!Lakini kwa dunia ya sasa na maradhi yote hapana!:redfaces:
 

KK hapo kwenye red fafanua tafadhali
 
jamani huyu Kakakiiza na pdidy wananipaga tabu kuelewa wanazungumziaga nini?:spy:
 


kakakiiza=antwomen.
 
mimi sijaelewa hata moja..

huku safi..
wewe huko?

kweli kanichanganya trip hii
mmmhhh
nway huku fresh tu ...
nasubiri le ticket uliniahidi
tuende ile holiday kule mahali
hahahahahahah lol
coz ur the Boss na ninasubiri ruhusa pia lol
 
kweli kanichanganya trip hii
mmmhhh
nway huku fresh tu ...
nasubiri le ticket uliniahidi
tuende ile holiday kule mahali
hahahahahahah lol
coz ur the Boss na ninasubiri ruhusa pia lol

wewe tu...
uko tayari lini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…