Hivi Hawa Waume Za Watu Wake Zao Vipi Jamani????

Te te te...nilipokuwa sijaolewa nimeshasikia story za hivyo nyingi sana pindi itokeapo misiba...

unasikia mkewe machozi yamegoma aisee...

Yani familia inafurahi baba ku rest in peace; afu wanakuja kujitamba hapa kuwa ni vidume wakati hawana umuhimu kwenye familia zao te te te...

Kuna wamama wananenepa baada ya kufiwa; ndio wenye waume design hii wanaorudi majogoo...na wao wanajiita wameoa na wana familia (aibu tupu)


nyie ndio wale wanaume mnaaombewa na wake zenu bora ufe mapema apumzike.
 
Lara 1 , nimeshakukaribisha kwenye chama chetu hutaki, na nazidi kukuombea dua kwa Mwenyezi Mungu, ili uje kwenye hichi chama chetu, ili uweze kuona yanayotukuta, maana usidhani kuwa tunapenda wayafanyayo lah, ila inabidi uvumilie ili watoto wako wakue, maana huwezi kwenda bar kushindana na mume, je watoto atakaye waangalia ni nani? na mazingira ya home nani ata take care? ndiyo maana tunaacha kushindana nao, ila naomba nikukumbushe kuwa anafanya yote hayo usiku ukifika anarudi home.
Ukitaka kujua ubaya wa kurudi usiku home muulize Asprin yaliyomkuta baada ya mkewe kuchoka, alijificha akalala pekee mpk asubuhi, Hahahahaaha!!!! kidogo adate, kama namuona vile, na mavaluu yake yote yalimtoka, Chezea mke wewe.
 
Ndio, afu ndio aende kupiga misele

mie bora amalizie misele yake huko akiingia aingie, ishu za ingia toka sizipendagi kabisa, na yeye anajua hilo,umeamua kuja home, njoo utulizane, hujamaliza misele yako malizia ukiingia tulizana.
 
Nadhani Lala unahitaji kukua vzr ili uayone haya katika jicho la 3D,Unadhani baba kuchelewa kurudi hme mama anachukia? Unajua ya kuwa wake sometime wanaku-support utoke hme uende kula bata na wadau maana shughuli nzito muamala unasoma kila mara c unajua hadi kuoa umependa haswa?? Sasa mara moja moja kwenda kula bata hadi asb kuna ubaya gani na vile bataz zimo damuni tangu enzi za mwalimu? Wazee wa Zamani wanakuambia Baba hana muda maalumu wa kurudi nyumbani sasa wewe kalaga bao na mambo yenu haya ya house girl housegirl baba yupo mapema nyumbani wewe!!
 
hao wanaochelewa kurudi ni wavulana bado wanakua! wakikua wataacha! mwanamme mwenye akili zake timamu hawezi kurudi late kila siku. matokeo yake hao wavulana wakizeeka wanalalamika watoto wako close na mama yao! sasa unategemea nini wkt wewe hukuwa nao karibu wkt wanakua?

Siyo hilo tu, asilimia kubwa watoto wao wakipimwa DNA wanajikuta wao ni baba wa ubatizo au babamlezi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom