rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,169 Reaction score 43,974 Jun 4, 2019 #101 mark girland said: Muda mwingine hawamaanishi wanayoyazungumza hivyo usipaniki. Click to expand... Sana mkuu...ukishalijua hili mwanamke hakusumbui sana!! ila kila atakachoongea wewe unakitilia maanani na kujali aisee utakufa mapema mno...
mark girland said: Muda mwingine hawamaanishi wanayoyazungumza hivyo usipaniki. Click to expand... Sana mkuu...ukishalijua hili mwanamke hakusumbui sana!! ila kila atakachoongea wewe unakitilia maanani na kujali aisee utakufa mapema mno...
mark girland JF-Expert Member Joined Feb 7, 2019 Posts 1,026 Reaction score 758 Jun 4, 2019 #102 rikiboy said: Sana mkuu...ukishalijua hili mwanamke hakusumbui sana!! ila kila atakachoongea wewe unakitilia maanani na kujali aisee utakufa mapema mno... Click to expand... Ndivyo walivyo hapo unakuta anampenda tu huyo jamaa sema tu anaogopa kujiachia..
rikiboy said: Sana mkuu...ukishalijua hili mwanamke hakusumbui sana!! ila kila atakachoongea wewe unakitilia maanani na kujali aisee utakufa mapema mno... Click to expand... Ndivyo walivyo hapo unakuta anampenda tu huyo jamaa sema tu anaogopa kujiachia..
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,169 Reaction score 43,974 Jun 4, 2019 #103 mark girland said: Ndivyo walivyo hapo unakuta anampenda tu huyo jamaa sema tu anaogopa kujiachia.. Click to expand... Kabisa mkuu...
mark girland said: Ndivyo walivyo hapo unakuta anampenda tu huyo jamaa sema tu anaogopa kujiachia.. Click to expand... Kabisa mkuu...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,087 Reaction score 54,310 Jul 26, 2019 #104 Mwanamke huwa haulizwi maswali ya kunako sita kwa sita