francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 476
- 521
huo ujinga sijawai mkuuWewe huyo hujamwelewa. Anataka umle Tigo.
Mhonge IST
aiseeeMhonge IST
Ndio usilalamike Sasa umeshajua sababu.huo ujinga sijawai mkuu
kwel mkuu nimkefikilia kitu icho nimeona cha msingiJiweke mbali nae
Anza kupunguza huduma
Baada ya hapo umuhimu wako anaweza uona.
cute beMhonge IST
nipe maujuzi mkuu ndo maana nikasema nataka ushaur binadam hatufanani akili unaweza nipa ushaur na ukafanya kazKwa sababu inaonekena wewe siyo real man ndo maana anakudharau, kwa nini unakuja kulia lia hapa ukigombana na demu wako? real man hutatua tatizo, inavyoonekana hauwezi kutatua matatizo na haujui unataka nini maishani hasa kwenye swala la mahusiano ndo maana unapoteza muda na Mwanamke asiye na mapenzi na wewe.
Mimi naweza kukupa kozi jinsi ya kuwa real man, na ukifuzu hutahangaishwa na Wanwake, bali wao ndo watakuwa wakitafuta ushauri jinsi ya kuweza kuishi utakavyo wewe na siyo kinyume chake kama ufanyavyo sasa hivi huo ni udhaifu, na Wanawake hawapendi wanaume dhaifu na ukiendelea hivi utarudi hapa kulia tena kwamba amekumwaga.
Abeecute be
Hajielewi huyo mkuukwel mkuu nimkefikilia kitu icho nimeona cha msingi
nimefumaniwa[emoji41]Abee
[emoji41][emoji41][emoji41]nimefumaniwa[emoji41]