HIVI HAWA TCU WAPOJE

Mkuu kuna dogo hapa pia anatatizo kama lako yeye anaambiwa "Applicant not found in multiple admission list or Confirmation Code is Incorrect Retry Again"
Hapa ameretry again mpaka anataka kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa tcu ni wasengerema sana kumamamae zao sana wanataka kuwafelisha watoto kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi, kuweni na subira, naamini kwa 100% wanafunzi wote wenye multiple admission watapata code zao na wataweza kufanya verification zao katika vyuo wanavyotaka kusoma, matatizo madogomadogo yanayojitokeza yatafanyiwa marekebisho tu, haina maana yoyote kutoa maneno mazito kiasi hicho kiongozi.
Wewe subiri mpaka vyuo vifungue na itokee baadhi ya wanafunzi wameshindwa kwenda chuo kwa sababu ya matatizo ya verification code ndo utoe dukuduku lako, kwa sasa nakuomba utulie wakati mambo yanawekwa sawa.

Siku njema mkuu.
 
Japo wengine wamebahatika kutumiwa, wengine hatujatumiwa kabisa.

Kulikoni huko jikoni TCU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…