NGOJA WAJE WALE WANAOISHI ULAYA WAJE WAKWAMBIE TAFUTA HELA WEWE HUNA HELAWakuu...
Jana nimeingia kihotel pale
Singida... Nikakuta wameandaa wali mweupe, wali pilau, nyama, maharage na chinese...
Total mixer cost 5,000/=
Mie vegeterean nikachukua wali mweupe tu maharage na chinese halafu wananambia ni pay 5k hivi ina make sense...?
Mkuu hicho ni “kisinia “ kabisa. Bei halali kabisa.Wakuu...
Jana nimeingia kihotel pale
Singida... Nikakuta wameandaa wali mweupe, wali pilau, nyama, maharage na chinese...
Total mixer cost 5,000/=
Mie vegeterean nikachukua wali mweupe tu maharage na chinese halafu wananambia ni pay 5k hivi ina make sense...?
Wali na nyama imejaa bakuli.... Pemben vegetable na maharageNdio uanzishie uzi jamani🙄
Anyways siku nyingine uwe unauliza tukupeleke machimbo ya jero jero😎
Labda ni mbuziKwanini wewe ni vegetarian?
Tupe connection mkuu☺️Wali na nyama imejaa bakuli.... Pemben vegetable na maharage
Buku tu....
Location 📍Tupe connection mkuu☺️
mbn kama vileNdio uanzishie uzi jamani
Anyways siku nyingine uwe unauliza tukupeleke machimbo ya jero jero
Hilo ni somo umepata.Wakuu...