Hivi hapa nini kinaendelea

Vikojoleo vinajiandaa kuingia kazini
 
Mbona huyo mwanamke kama anajua kuwa anapigwa picha...na huyo mwanamme anaidhalilisha hiyo tai....bora asingeivaa
 
Yani huyo jamaa alivyovaa vizuri na tai yake badala ya kuupeleka mzigo gesti ama hotelini yeye anapigia kichakani..
Pambafu kabisa
 
Nadhani hapo ni Nairobi kipindi fulani cha nyuma hiyo picha ilizagaa sana mtandaoni. Hapo dada anayefanya biashara kuuza mwili wake yupo na mteja.
 
Yani huyo jamaa alivyovaa vizuri na tai yake badala ya kuupeleka mzigo gesti ama hotelini yeye anapigia kichakani..
Pambafu kabisa
Mwanaume mporipori a.k.a wa mikoani huyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…