Hivi hapa Bongo US Dollar ya chini ya mwaka 2000 Haiuziki?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Nilikuwa na vidolari vyangu vya kimarekani, leo nikataka nikaviuze; Nilipo enda kwenye Bureau de change walivichambua na vile vya 1999 na kwenda chini nikarudushiwa! Naombeni mnisaidie kunielekeza mahali pa kuziuza hizo zenye zaidi ya miaka kumi toka zichapishwe nitaziuza wapi hapa Dar es salaam.

Natanguliza Shukrani
 
Nadhani baadhi ya BANK wanaweza kukubadilishia. Bureau de Change wanapenda dolla ya 2000 and above
 
CHANGA LA MACHO MZEE ,ulikopi no?? ya hizo ulizorudishiwa kabla ?HUWA WANAKUWA NA FEKI AMBAZO WANAKURUDISHIA NA KUSEMA HUTUZIPOKEI.ZAKO ZINAWEKWA NA ZAO feki wanakupatia., hii wakati mwingine inatokea.HIZO FEKI UTAHANG NAZO MPAKA UTOKE JASHO.KUWA MAKINI.kAMA NI CASH MONEY COPY NAMBA KWANZA.Bereu de Change ni matatizo dunia nzima.mASHINE ZA UTAMBUZI WA HELA ZA ZAMANI ZIMEPOTEA WATU WANAMUV NA MASHINE MPYA HIVYO KUTAPELI NI RAHISI PIA. NENDA BENK KAMA ULIVYOSHAURIWA HAPO JUU
 
Nilikuwa na vidolari vyangu vya kimarekani, leo nikataka nikaviuze; Nilipo enda kwenye Bureau de change walivichambua na vile vya 1999 na kwenda chini nikarudushiwa! Naombeni mnisaidie kunielekeza mahali pa kuziuza hizo zenye zaidi ya miaka kumi toka zichapishwe nitaziuza wapi hapa Dar es salaam.

Natanguliza Shukrani

Nenda Crown Bureau de Change (corner ya India/Zanaki Street).
 
CHANGA LA MACHO MZEE ,ulikopi no?? ya hizo ulizorudishiwa kabla ?HUWA WANAKUWA NA FEKI AMBAZO WANAKURUDISHIA NA KUSEMA HUTUZIPOKEI.ZAKO ZINAWEKWA NA ZAO feki wanakupatia., hii wakati mwingine inatokea.HIZO FEKI UTAHANG NAZO MPAKA UTOKE JASHO.KUWA MAKINI.kAMA NI CASH MONEY COPY NAMBA KWANZA.Bereu de Change ni matatizo dunia nzima.mASHINE ZA UTAMBUZI WA HELA ZA ZAMANI ZIMEPOTEA WATU WANAMUV NA MASHINE MPYA HIVYO KUTAPELI NI RAHISI PIA. NENDA BENK KAMA ULIVYOSHAURIWA HAPO JUU
umemshauri vyema aangalie asije kuwa amerudishiwa feki then yeye ndiye akwa na hatia ya kuwa na dola feki.
 
Hata mimi niliwahi kupigwa hilo changa la macho nilipo ambiwa sikuamini siku nyingine nikaenda nime copy namba siwakarudia tena, palikua hapatoshi, nivizuri kukopi namba unapokwenda kuchenji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom